Psalms 64:11 — Compare Translations

2 translations compared side by side

Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hapo mwongofu atafurahia kuwa wa Bwana, amkimbilie, nao wote wenye mioyo inyokayo watashangilia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu wa haki watamufurahia Yawe, na kukimbilia kwake; watu wote wenye moyo wa usawa watamusifu.