Psalms 64:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Unikinge na njama za waovu, na ghasia za watu wabaya.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Unifiche kutokana na njama za waovu, kutokana na fitina za kundi la watenda maovu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Utanificha mbali na shauri la siri la watenda mabaya, Mbali na ghasia ya watu wafanyao maovu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Unikinge na njama za waovu, na ghasia za watu wabaya.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Unifiche kutokana na shauri la siri la waovu, kutokana na zile kelele za kundi la watenda mabaya.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Unifiche kutokana na shauri la siri la waovu, kutokana na zile kelele za kundi la watenda mabaya.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Unifiche mbali na njama za watenda mabaya, Mbali na mipango ya watu wafanyao maovu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Unikinge na njama za waovu, na ghasia za watu wabaya.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Unilinde, nikae na kutengemana, mchukivu akinitisha!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Utanificha mbali na shauri la siri la watenda mabaya, Mbali na ghasia ya watu wafanyao maovu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee Mungu, usikilize malalamiko yangu. Uyalinde maisha yangu kutoka vitisho vya waadui.