Psalms 64:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wananoa ndimi zao kama upanga, wanafyatua maneno ya ukatili kama mishale.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wananoa ndimi zao kama panga na kuelekeza maneno yao kama mishale ya kufisha.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Waliounoa ulimi wao kama upanga, Wameielekeza mishale yao, maneno ya uchungu,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wananoa ndimi zao kama upanga, wanafyatua maneno ya ukatili kama mishale.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wanaonoa ndimi zao kama panga na kuelekeza maneno yao kama mishale ya kufisha.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wananoa ndimi zao kama panga na kuelekeza maneno yao kama mishale ya kufisha.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Waliounoa ulimi wao kama upanga, Wanaoyalenga maneno ya uchungu kama mishale,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wananoa ndimi zao kama upanga, wanafyatua maneno ya ukatili kama mishale.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Unifiche, njama zao wafanyao mabaya zisinijie, wala fujo yao wafanyao mapotovu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Waliounoa ulimi wao kama upanga, Wameielekeza mishale yao, maneno ya uchungu,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Unikinge na shauri baya la waovu, nayo fujo ya watu wabaya.