Psalms 64:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wanashirikiana katika nia yao mbaya; wanapatana mahali pa kuficha mitego yao. Wanafikiri: “Hakuna atakayeweza kuiona.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kila mmoja humtia moyo mwenzake katika mipango mibaya; huzungumza kuhusu kuficha mitego yao, nao husema, “Ni nani ataiona?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Walijifanya hodari katika jambo baya; Hushauriana juu ya kutega mitego; Husema, Ni nani atakayeiona?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wanashirikiana katika nia yao mbaya; wanapatana mahali pa kuficha mitego yao. Wanafikiri: “Hakuna atakayeweza kuiona.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kila mmoja humtia moyo mwenzake katika mipango mibaya; huzungumza juu ya kuficha mitego yao, nao husema, “Ni nani ataiona?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kila mmoja humtia moyo mwenzake katika mipango mibaya; huzungumza juu ya kuficha mitego yao, nao husema, “Ni nani ataiona?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Walijifanya hodari katika jambo baya; Hushauriana juu ya kutega mitego; Wakisema, Ni nani atakayeiona?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wanashirikiana katika nia yao mbaya; wanapatana mahali pa kuficha mitego yao. Wanafikiri: “Hakuna atakayeweza kuiona.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hujificha, wapate kumpiga mishale amchaye Mungu, mara wanampiga, kisha hawaogopi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Walijifanya hodari katika jambo baya; Hushauriana juu ya kutega mitego; Husema, Ni nani atakayeiona?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wanapiga mutu mukamilifu kwa uficho, wanamupiga kwa rafla bila kuogopa.