Psalms 64:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hufanya njama zao na kusema: “Sasa tumekamilisha mpango! Nani atagundua hila zetu?” Mipango ya siri imefichika moyoni mwa mtu!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hupanga njama la dhuluma na kusema, “Tumebuni mpango mkamilifu!” Hakika nia na moyo wa mwanadamu vina hila.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hutunga maovu; husema, Tumefanya shauri kamili; Na mawazo ya ndani ya kila mmoja wao, Na moyo wake, huwa siri kabisa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hufanya njama zao na kusema: “Sasa tumekamilisha mpango! Nani atagundua hila zetu?” Mipango ya siri imefichika moyoni mwa mtu!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hufanya shauri baya la dhuluma na kusema, “Tumebuni mpango mkamilifu!” Hakika nia na moyo wa mwanadamu vina hila.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hufanya shauri baya la dhuluma na kusema, “Tumebuni mpango mkamilifu!” Hakika nia na moyo wa mwanadamu vina hila.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ni nani atambuaye maovu yetu? Tumepanga njama kwa werevu mwingi, Maana katika moyo wa mtu na fikira nyingi zimefichika.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hufanya njama zao na kusema: “Sasa tumekamilisha mpango! Nani atagundua hila zetu?” Mipango ya siri imefichika moyoni mwa mtu!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hushikana mioyo, wazidishe ubaya, maongezi yao ni hayo tu, jinsi watakavyotega matanzi. Yuko nani atakayeyaona? ndivyo, wanavyosema.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hutunga maovu; husema, Tumefanya shauri kamili; Na mawazo ya ndani ya kila mmoja wao, Na moyo wake, huwa siri kabisa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wanashirikiana katika nia yao mbaya; wanapatana pahali pa kuficha mitego yao. Wanajisemesha: “Hakuna atakayeweza kuiona.”