Psalms 64:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini Mungu atawapiga mishale, na kuwajeruhi ghafla.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Bali Mungu atawapiga kwa mishale, nao ghafula wataangushwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa hiyo Mungu atawapiga shabaha, Kwa mshale mara watapigwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini Mungu atawapiga mishale, na kuwajeruhi ghafla.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Bali Mungu atawapiga wao kwa mshale, nao utawapata ghafula na kuanguka.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Bali Mungu atawapiga kwa mishale, nao ghafula wataangushwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini Mungu atawapiga kwa mshale wake, Na kuwajeruhi ghafla.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini Mungu atawapiga mishale, na kuwajeruhi ghafla.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Huwaza makorofi kwa kusema: Tumeijua mizungu yote. Yaliyomo mioyoni mwao kila mmoja hayachunguziki.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa hiyo Mungu atawapiga shabaha, Kwa mshale mara watapigwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wanafanya shauri baya wakijisemesha: “Tumetimiza sasa mipango yetu! Nani anayeweza kugundua mafikiri ya ndani ya mutu?”