Psalms 64:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hapo watu wote wataogopa; watatangaza aliyotenda Mungu, na kufikiri juu ya matendo yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wanadamu wote wataogopa, watatangaza kazi za Mungu na kutafakari yale aliyoyatenda.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na watu wote wataogopa, Wataitangaza kazi ya Mungu, Na kuyafahamu matendo yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hapo watu wote wataogopa; watatangaza aliyotenda Mungu, na kufikiri juu ya matendo yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wanadamu wote wataogopa, watatangaza kazi za Mungu na kutafakari yale aliyoyatenda.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wanadamu wote wataogopa, watatangaza kazi za Mungu na kutafakari yale aliyoyatenda.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na watu wote wataogopa, Wataitangaza kazi ya Mungu, Na kuyafahamu matendo yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hapo watu wote wataogopa; watatangaza aliyotenda Mungu, na kufikiri juu ya matendo yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndimi zao ndizo zilizowaangusha, wote watakaowaona hivyo watawasimanga.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na watu wote wataogopa, Wataitangaza kazi ya Mungu, Na kuyafahamu matendo yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Atawaangamiza kwa sababu ya maneno yao; kila atakayewaona atatikisa kichwa.