Psalms 65:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
(Kwa Mwimbishaji. Zaburi ya Daudi: Wimbo) Wastahili sifa, ee Mungu, huko Siyoni, watu watakutimizia wewe ahadi zao,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mungu, sifa zakungojea katika Sayuni; kwako wewe nadhiri zetu zitatimizwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Mungu, sifa zakulaiki katika Sayuni, Na kwako Wewe itaondolewa nadhiri.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wastahili sifa, ee Mungu, huko Siyoni, watu watakutimizia wewe ahadi zao,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
(Kwa Mwimbishaji: Zaburi Ya Daudi. Wimbo) Ee Mungu, sifa zakungojea katika Sayuni; kwako wewe nadhiri zetu zitatimizwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee Mungu, sifa zakungojea katika Sayuni; kwako wewe nadhiri zetu zitatimizwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee Mungu, wastahili sifa katika Sayuni, Na kwako Wewe itaondolewa nadhiri.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wastahili sifa, ee Mungu, huko Siyoni, watu watakutimizia wewe ahadi zao,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mungu, ukitukuzwa mle Sioni, huwamo kimya, wewe ndiwe unayelipwa, watu waliyokuapia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee Mungu, sifa zakulaiki katika Sayuni, Na kwako Wewe itaondolewa nadhiri.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa mukubwa wa waimbaji. Zaburi. Wimbo wa Daudi.