Psalms 65:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mashamba wayanyeshea mvua kwa wingi, na kuyalowanisha kwa maji; ardhi wailainisha kwa manyunyu, na kuibariki mimea ichipue.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Umeilowesha mifereji yake na kusawazisha kingo zake; umeilainisha kwa manyunyu na kuibariki mimea yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Matuta yake wayajaza maji; Wapasawazisha palipoinuka, Wailainisha nchi kwa manyunyu; Waibariki mimea yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mashamba wayanyeshea mvua kwa wingi, na kuyalowanisha kwa maji; ardhi wailainisha kwa manyunyu, na kuibariki mimea ichipue.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Umeilowesha mifereji yake na kusawazisha kingo zake; umeilainisha kwa manyunyu na kuibariki mimea yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Umeilowesha mifereji yake na kusawazisha kingo zake; umeilainisha kwa manyunyu na kuibariki mimea yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Matuta yake wayajaza maji; Wapasawazisha palipoinuka, Wailainisha nchi kwa manyunyu; Waibariki mimea yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mashamba wayanyeshea mvua kwa wingi, na kuyalowanisha kwa maji; ardhi wailainisha kwa manyunyu, na kuibariki mimea ichipue.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
matuta yake huyanywesha vizuri, mashamba yapate kulowana, mvua nyingi zikiyalegeza; ndivyo, unavyoibariki hiyo mimea yake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Matuta yake wayajaza maji; Wapasawazisha palipoinuka, Wailainisha nchi kwa manyunyu; Waibariki mimea yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wewe unatunza udongo kwa kuunyeshea mvua, unaujalia mboleo na kuustawisha; muto wako umejaa maji tele, unaifanikisha inchi na kuipatia mavuno. Hivi ndivyo unavyotayarisha udongo.