Psalms 65:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wautunukia mwaka wote mema yako, kila ulipopitia pamejaa fanaka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Umeuvika mwaka taji la baraka, magari yako yanafurika kwa wingi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Umeuvika mwaka taji ya wema wako; Mapito yako yadondoza unono.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wautunukia mwaka wote mema yako, kila ulipopitia pamejaa fanaka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Umeuvika mwaka taji ya baraka, magari yako yanafurika kwa wingi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Umeuvika mwaka taji ya baraka, magari yako yanafurika kwa wingi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Umeuvika mwaka taji la wema wako; Mapito yako yadondoza unono.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wautunukia mwaka wote mema yako, kila ulipopitia pamejaa fanaka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Magawio yako mema ya kilimo ni kama kilemba cha mwaka, nazo nyayo zako zinadondosha mafuta.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Umeuvika mwaka taji ya wema wako; Mapito yako yadondoza unono.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Unanyeshea mashamba mvua kwa wingi, na kuyalowanisha kwa maji; unalainisha udongo kwa manyunyu, na kubariki mimea ichipuke.