Psalms 65:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mbuga za majani zimejaa mifugo, milima nayo imejaa furaha.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mbuga za majani za jangwani umezineemesha; vilima vimevikwa furaha.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Huyadondokea malisho ya nyikani, Na vilima vyajifunga furaha.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mbuga za majani zimejaa mifugo, milima nayo imejaa furaha.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mbuga za majani za jangwani umezineemesha; vilima vimevikwa furaha.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mbuga za majani za jangwani umezineemesha; vilima vimevikwa furaha.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Huyadondokea malisho ya nyikani, Na vilima vimejawa na furaha.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mbuga za majani zimejaa mifugo, milima nayo imejaa furaha.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mbuga za nyika zimechipuka, nazo zinadondoka, vilima navyo vimejitega kushangilia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Huyadondokea malisho ya nyikani, Na vilima vyajifunga furaha.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Unakamilisha mwaka kwa kutupatia mazao mazuri; kila nafasi ulipopita kumejaa utajiri.