Psalms 65:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Malisho yamejaa kondoo, mabonde yamefunikwa kwa ngano. Kila kitu kinashangilia kwa furaha.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Malisho yamejaa makundi ya wanyama, na mabonde yamepambwa kwa mavuno; vyote vinashangilia kwa furaha na kuimba.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na malisho yamevikwa kondoo, Na mabonde yamepambwa nafaka, Yanashangilia, naam, yanaimba.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Malisho yamejaa kondoo, mabonde yamefunikwa kwa ngano. Kila kitu kinashangilia kwa furaha.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Penye nyanda za malisho pamejaa makundi ya wanyama, na mabonde yamepambwa kwa mavuno; vyote vinashangilia kwa furaha na kuimba.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Penye nyanda za malisho pamejaa makundi ya wanyama, na mabonde yamepambwa kwa mavuno; vyote vinashangilia kwa furaha na kuimba.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na malisho yamejawa na kondoo, Na mabonde yamepambwa nafaka, Yanashangilia, na kuimba pamoja kwa shangwe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Malisho yamejaa kondoo, mabonde yamefunikwa kwa ngano. Kila kitu kinashangilia kwa furaha.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nyanda zimejaa kondoo, mabonde yamefunikwa na mashamba, nao watu wanapigiana shangwe nazo nyimbo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na malisho yamevikwa kondoo, Na mabonde yamepambwa nafaka, Yanashangilia, naam, yanaimba.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mbuga za majani zimejaa mifugo, milima nayo imejaa furaha.