Psalms 65:14 — Compare Translations

1 translations compared side by side

Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mashamba ya kulishia nyama yamejaa kondoo, mabonde yamefunikwa na ngano. Kila kitu kinashangilia kwa furaha.