Psalms 65:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
maana wewe wajibu sala zetu. Binadamu wote watakujia wewe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ewe usikiaye maombi, watu wote watakuja kwako wewe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wewe usikiaye kuomba, Wote wenye mwili watakujia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
maana wewe wajibu sala zetu. Binadamu wote watakujia wewe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee wewe usikiaye maombi, kwako wewe watu wote watakuja.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ewe usikiaye maombi, kwako wewe watu wote watakuja.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wewe usikiaye maombi, Wote wenye mwili watakujia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
maana wewe wajibu sala zetu. Binadamu wote watakujia wewe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Unawasikia wao wanaokuomba, kwa hiyo wenye miili ya kimtu hukujia wote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wewe usikiaye kuomba, Wote wenye mwili watakujia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee Mungu, unastahili sifa huko Sayuni. Watu wanapaswa kukutimizia viapo vyao,