Psalms 65:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tunapolemewa na makosa yetu, wewe mwenyewe watusamehe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tulipokuwa tumefunikwa kabisa na dhambi, wewe ulisamehe makosa yetu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ingawa maovu mengi yanamshinda, Wewe utayafunika maasi yetu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tunapolemewa na makosa yetu, wewe mwenyewe watusamehe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tulipokuwa tumefunikwa kabisa na dhambi, wewe ulisamehe makosa yetu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tulipokuwa tumefunikwa kabisa na dhambi, wewe ulisamehe makosa yetu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tutakapozidiwa na matendo maovu Wewe utatuondolea uovu wetu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tunapolemewa na makosa yetu, wewe mwenyewe watusamehe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Manza, tulizozikora, zinatulemea, lakini wewe unayafunika nayo mapotovu yetu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ingawa maovu mengi yanamshinda, Wewe utayafunika maasi yetu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
maana wewe unajibu maombi yetu. Wanadamu wote watakuja kwako wewe peke.