Psalms 65:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa nguvu yako uliisimika milima mahali pake. Wewe una nguvu mno!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
uliyeumba milima kwa uwezo wako, ukiwa umejivika nguvu,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Milima waiweka imara kwa nguvu zako, Huku ukijifunga uweza kama mshipi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa nguvu yako uliisimika milima mahali pake. Wewe una nguvu mno!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
uliyeumba milima kwa uwezo wako, ukiwa umejivika nguvu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
uliyeumba milima kwa uwezo wako, ukiwa umejivika nguvu,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Milima waiweka imara kwa nguvu zako, Huku ukijifunga uweza kama mshipi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa nguvu yako uliisimika milima mahali pake. Wewe una nguvu mno!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Uliishikiza milima kwa uwezo wako, ukajifunga nguvu zishindazo zote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Milima waiweka imara kwa nguvu zako, Huku ukijifunga uweza kama mshipi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa matendo yako makubwa unatuitikia na kutuokoa, ewe Mungu mwokozi wetu. Wewe ndiwe tumaini la viumbe vyote katika dunia yote na mbali katika bahari.