Psalms 65:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watuliza mshindo wa bahari na wa mawimbi yake, wakomesha ghasia za watu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
uliyenyamazisha dhoruba za bahari, ngurumo za mawimbi yake, na ghasia za mataifa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wautuliza uvumi wa bahari, Uvumi wa mawimbi yake, Na ghasia ya mataifa;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watuliza mshindo wa bahari na wa mawimbi yake, wakomesha ghasia za watu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
uliyenyamazisha dhoruba za bahari, ngurumo za mawimbi yake, na ghasia za mataifa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
uliyenyamazisha dhoruba za bahari, ngurumo za mawimbi yake, na ghasia za mataifa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Watuliza kuvuma kwa bahari, Kuvuma kwa mawimbi yake, Na ghasia za watu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watuliza mshindo wa bahari na wa mawimbi yake, wakomesha ghasia za watu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Unautuliza uvumi wa bahari, hata uvumi wa mawimbi, nayo machafuko yao makabila ya watu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wautuliza uvumi wa bahari, Uvumi wa mawimbi yake, Na ghasia ya mataifa;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa nguvu yako uliisimika milima pahali pake. Wewe una nguvu nyingi!