Psalms 65:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ulimwengu wote washangazwa na matendo yako. Wasababisha furaha kila mahali, toka mashariki hata magharibi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wale wanaoishi mbali sana wanaogopa maajabu yako, kule asubuhi ipambazukiapo na kule jioni inakofifilia umeziita nyimbo za furaha.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa hiyo wakaao mbali kabisa huogopa ishara zako; Milango ya asubuhi na jioni waifurahisha.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ulimwengu wote washangazwa na matendo yako. Wasababisha furaha kila mahali, toka mashariki hata magharibi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wale wanaoishi mbali sana wanaogopa maajabu yako, kule asubuhi ipambazukiapo na kule jioni inakofifilia umeziita nyimbo za furaha.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wale wanaoishi mbali sana wanaogopa maajabu yako, kule asubuhi ipambazukiapo na kule jioni inakofifilia umeziita nyimbo za furaha.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa hiyo wakaao mbali kabisa huogopa ishara zako; Milango ya asubuhi na jioni waifurahisha.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ulimwengu wote washangazwa na matendo yako. Wasababisha furaha kila mahali, toka mashariki hata magharibi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo wakaao mapeoni kwa nchi huviogopa vielekezo vyako, nawe unawafurahisha wakaao maawioni nako machweoni kwa jua.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa hiyo wakaao mbali kabisa huogopa ishara zako; Milango ya asubuhi na jioni waifurahisha.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Unatuliza uvumi wa bahari na wa mawimbi yake, unakomesha fujo za watu.