Psalms 65:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wewe waitunza nchi kwa kuinyeshea mvua, waijalia rutuba na kuistawisha; mto wako umejaa maji tele, waifanikisha nchi na kuipatia mavuno. Hivi ndivyo uitengenezavyo nchi:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Waitunza nchi na kuinyeshea, waitajirisha kwa wingi. Vijito vya Mungu vimejaa maji ili kuwapa watu nafaka, kwa maana wewe umeviamuru.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Umeijilia nchi na kuisitawisha, Umeitajirisha sana; Mto wa Mungu umejaa maji; Wawaruzuku watu nafaka Maana ndiwe uitengenezaye ardhi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wewe waitunza nchi kwa kuinyeshea mvua, waijalia rutuba na kuistawisha; mto wako umejaa maji tele, waifanikisha nchi na kuipatia mavuno. Hivi ndivyo uitengenezavyo nchi:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Waitunza nchi na kuinyeshea, waitajirisha kwa wingi. Vijito vya Mungu vimejaa maji ili kuwapa watu nafaka, kwa maana wewe umeviamuru.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Waitunza nchi na kuinyeshea, waitajirisha kwa wingi. Vijito vya Mungu vimejaa maji ili kuwapa watu nafaka, kwa maana wewe umeviamuru.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Umeijia nchi na kuisitawisha, Umeitajirisha sana; Mto wa Mungu umejaa maji; Wawapa watu nafaka Maana ndiwe uitengenezaye ardhi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wewe waitunza nchi kwa kuinyeshea mvua, waijalia rutuba na kuistawisha; mto wako umejaa maji tele, waifanikisha nchi na kuipatia mavuno. Hivi ndivyo uitengenezavyo nchi:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Umeitokea nchi, ukainywesha, ukaichipuza sanasana, mto wake Mungu hujaa maji, ukawavunisha watu vilaji vingi, kwani hivyo ndivyo, unavyoiotesha nchi:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Umeijilia nchi na kuisitawisha, Umeitajirisha sana; Mto wa Mungu umejaa maji; Wawaruzuku watu nafaka Maana ndiwe uitengenezaye ardhi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakaaji wa miisho ya dunia wanashangazwa na vitambulisho vyako. Unasababisha furaha kila pahali, tokea mashariki hata magaribi.