Psalms 66:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
(Kwa Mwimbishaji. Wimbo. Zaburi) Enyi watu wote duniani mshangilieni Mungu!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mpigieni Mungu kelele za shangwe, dunia yote!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mpigie Mungu kelele za shangwe, nchi yote,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Enyi watu wote duniani mshangilieni Mungu!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
(Kwa Mwimbishaji: Wimbo. Zaburi) Mpigieni Mungu kelele za shangwe, dunia yote!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mpigieni Mungu kelele za shangwe, dunia yote!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mpigie Mungu kelele za shangwe, nchi yote,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Enyi watu wote duniani mshangilieni Mungu!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mpigieni Mungu shangwe, ninyi nchi zote!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mpigie Mungu kelele za shangwe, nchi yote,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa mukubwa wa waimbaji. Wimbo. Zaburi. Enyi wakaaji wote wa dunia, mumushangilie Mungu!