Psalms 66:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Umetupima, ee Mungu, umetujaribu kama madini motoni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mungu, wewe ulitujaribu, ukatusafisha kama fedha.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa maana umetupima, Ee Mungu, Umetujaribu inavyojaribiwa fedha.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Umetupima, ee Mungu, umetujaribu kama madini motoni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee Mungu, wewe ulitujaribu, ukatusafisha kama fedha.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee Mungu, wewe ulitujaribu, ukatusafisha kama fedha.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa maana umetupima, Ee Mungu, Umetujaribu inavyojaribiwa fedha.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Umetupima, ee Mungu, umetujaribu kama madini motoni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kweli ulitujaribu, Mungu, na kutuyeyusha, kama ni fedha, watu wanazoziyeyusha,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa maana umetupima, Ee Mungu, Umetujaribu inavyojaribiwa fedha.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Umetupima, ee Mungu, umetujaribu kama madini kwa moto.