Psalms 66:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Umetuacha tunaswe wavuni; umetubebesha taabu nzito.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Umetuingiza kwenye nyavu na umetubebesha mizigo mizito migongoni mwetu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ulituingiza ndani ya wavu, Na kuweka viunoni mwetu mzigo uliotulemea.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Umetuacha tunaswe wavuni; umetubebesha taabu nzito.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Umetuingiza kwenye nyavu na umetubebesha mizigo mizito migongoni mwetu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Umetuingiza kwenye nyavu na umetubebesha mizigo mizito migongoni mwetu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ulituingiza ndani ya wavu, Na kuweka viunoni mwetu mzigo uliotulemea.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Umetuacha tunaswe wavuni; umetubebesha taabu nzito.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
ukatupeleka kifungoni na kututwika mzigo uliotulemea viunoni,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ulituingiza ndani ya wavu, Na kuweka viunoni mwetu mzigo uliotulemea.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Umetunasa katika wavu; umetubebesha muzigo muzito.