Psalms 66:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Umewaacha watu watukanyage; tumepitia motoni na majini. Lakini sasa umetuleta kwenye usalama.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Uliwaruhusu watu watukalie vichwani, tulipita kwenye moto na kwenye maji, lakini ulituleta kwenye nchi iliyojaa utajiri tele.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Uliwapandisha watu Juu ya vichwa vyetu. Tulipita motoni na majini; Ukatutoa na kutuleta kunako wingi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Umewaacha watu watukanyage; tumepitia motoni na majini. Lakini sasa umetuleta kwenye usalama.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Uliwaruhusu watu watukalie vichwani, tulipita kwenye moto na kwenye maji, lakini ulituleta kwenye nchi iliyojaa utajiri tele.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Uliwaruhusu watu watukalie vichwani, tulipita kwenye moto na kwenye maji, lakini ulituleta kwenye nchi iliyojaa utajiri tele.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Uliwapandisha watu Juu ya vichwa vyetu. Tulipitia motoni na majini; Ukatutoa na kutuleta kwenye ufanisi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Umewaacha watu watukanyage; tumepitia motoni na majini. Lakini sasa umetuleta kwenye usalama.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
ukaleta watu, watukanyage vichwa, tukaingia motoni namo majini, lakini ulitutoa mle, ukatukalisha panapo mema mengi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Uliwapandisha watu Juu ya vichwa vyetu. Tulipita motoni na majini; Ukatutoa na kutuleta kunako wingi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Umewaacha watu watukanyage; tumepitia katika moto na katika maji. Lakini sasa umetuleta kwenye usalama.