Psalms 66:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nitakuja nyumbani kwako na sadaka za kuteketezwa, nitakutimizia nadhiri zangu,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitakuja hekaluni mwako na sadaka za kuteketezwa na kukutimizia nadhiri zangu:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nitaingia nyumbani mwako na kafara; Nitaondoa kwako nadhiri zangu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nitakuja nyumbani kwako na sadaka za kuteketezwa, nitakutimizia nadhiri zangu,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitakuja hekaluni mwako na sadaka za kuteketezwa na kukutimizia nadhiri zangu:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitakuja hekaluni mwako na sadaka za kuteketezwa na kukutimizia nadhiri zangu:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nitaingia nyumbani mwako na kafara; Nitaondoa kwako nadhiri zangu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nitakuja nyumbani kwako na sadaka za kuteketezwa, nitakutimizia nadhiri zangu,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nitakuja, nikupelekee ng'ombe za tambiko Nyumbani mwako, nikulipe hayo, niliyokuapia,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nitaingia nyumbani mwako na kafara; Nitaondoa kwako nadhiri zangu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nitakuja ndani ya nyumba yako na sadaka za kuteketezwa, nitakutimizia viapo vyangu