Psalms 66:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
nilizotamka na kukuahidi mimi mwenyewe nilipokuwa taabuni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
nadhiri ambazo midomo yangu iliahidi na nilizotamka kwa kinywa changu nilipokuwa katika shida.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ambazo midomo yangu ilizinena; Kinywa changu kikazisema nilipokuwa taabuni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
nilizotamka na kukuahidi mimi mwenyewe nilipokuwa taabuni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
nadhiri ambazo midomo yangu iliahidi na nilizotamka kwa kinywa changu nilipokuwa katika shida.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
nadhiri ambazo midomo yangu iliahidi na nilizotamka kwa kinywa changu nilipokuwa katika shida.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ambazo midomo yangu ilizinena; Kinywa changu kikazisema nilipokuwa taabuni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
nilizotamka na kukuahidi mimi mwenyewe nilipokuwa taabuni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
midomo yangu ilipofumbuka kwa hivyo, nilivyokuwa nimesongeka; ilikuwa hapo, kilipoyasema kinywa changu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ambazo midomo yangu ilizinena; Kinywa changu kikazisema nilipokuwa taabuni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
nilivyotamka na kukuahidia mimi mwenyewe nilipokuwa katika taabu.