Psalms 66:15 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nitakutolea sadaka za kuteketezwa nononono, tambiko za kuteketezwa za kondoo madume; nitatoa sadaka za ng'ombe na mbuzi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitakutolea dhabihu za wanyama wanono na sadaka za kondoo dume, nitakutolea mafahali na mbuzi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kafara za vinono nitakutolea, Pamoja na fukizo la kondoo waume, Nitatoa ng'ombe pamoja na mbuzi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nitakutolea sadaka za kuteketezwa nononono, tambiko za kuteketezwa za kondoo madume; nitatoa sadaka za ng'ombe na mbuzi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitakutolea dhabihu za wanyama wanono na sadaka za kondoo waume, nitakutolea mafahali na mbuzi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitakutolea dhabihu za wanyama wanono na sadaka za kondoo dume, nitakutolea mafahali na mbuzi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kafara za vinono nitakutolea, Pamoja na fukizo la kondoo dume, Nitatoa ng'ombe pamoja na mbuzi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nitakutolea sadaka za kuteketezwa nononono, tambiko za kuteketezwa za kondoo madume; nitatoa sadaka za ng'ombe na mbuzi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nitakupelekea ng'ombe za tambiko zenye mafuta pamoja na nyama za kondoo za vukizo; kweli ni ng'ombe na kondoo, nitakaokutengenezea.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kafara za vinono nitakutolea, Pamoja na fukizo la kondoo waume, Nitatoa ng’ombe pamoja na mbuzi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nitakutolea sadaka za kuteketezwa za nyama wenye kunona, sadaka za kuteketezwa za kondoo dume; nitatoa sadaka za ngombe dume na beberu.