Psalms 66:16 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Enyi mnaomcha Mungu, njoni nyote mkasikilize, nami nitawasimulieni aliyonitendea.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Njooni msikilize ninyi nyote mnaomcha Mungu, nami niwaambie aliyonitendea.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Njoni, sikieni, ninyi nyote mnaomcha Mungu, Nami nitayatangaza aliyonitendea roho yangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Enyi mnaomcha Mungu, njoni nyote mkasikilize, nami nitawasimulieni aliyonitendea.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Njoni msikilize ninyi nyote mnaomcha Mungu, nami niwaambie aliyonitendea.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Njooni msikilize ninyi nyote mnaomcha Mungu, nami niwaambie aliyonitendea.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Njoni, sikieni, ninyi nyote mnaomcha Mungu, Nami nitayatangaza aliyonitendea roho yangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Enyi mnaomcha Mungu, njoni nyote mkasikilize, nami nitawasimulieni aliyonitendea.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Njoni, msikilize, nyote mmwogopao Mungu, niwasimulie aliyoifanyizia roho yangu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Njoni, sikieni, ninyi nyote mnaomcha Mungu, Nami nitayatangaza aliyonitendea roho yangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Enyi munaomwabudu Mungu, mukuje wote musikilize, nami nitawaelezea mambo aliyonitendea.