Psalms 66:17 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mimi nilimlilia msaada kwa sauti, sifa zake nikazitamka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nilimlilia kwa kinywa changu, sifa zake zilikuwa katika ulimi wangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nalimwita kwa kinywa changu, Na sifa kuu zilikuwa chini ya ulimi wangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mimi nilimlilia msaada kwa sauti, sifa zake nikazitamka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nilimlilia kwa kinywa changu, sifa zake zilikuwa katika ulimi wangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nilimlilia kwa kinywa changu, sifa zake zilikuwa katika ulimi wangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nilimwita kwa kinywa changu, Na sifa kuu zilikuwa chini ya ulimi wangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mimi nilimlilia msaada kwa sauti, sifa zake nikazitamka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nilikifumbua kinywa changu, nikamlalamikia, tena ulimi wangu nao ulikuwa umejitega, upate kumtukuza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nalimwita kwa kinywa changu, Na sifa kuu zilikuwa chini ya ulimi wangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mimi nilimulilia kwa sauti, sifa zake nikazitangaza.