Psalms 66:18 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kama ningalinuia maovu moyoni, Mwenyezi-Mungu hangalinisikiliza.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kama ningekuwa nimeyaficha maovu moyoni mwangu, Bwana asingekuwa amenisikiliza;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kama ningaliwaza maovu moyoni mwangu, Bwana asingesikia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kama ningalinuia maovu moyoni, Mwenyezi-Mungu hangalinisikiliza.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama ningekuwa nimeyaficha maovu moyoni mwangu, Bwana asingekuwa amenisikiliza;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama ningekuwa nimeyaficha maovu moyoni mwangu, Bwana asingekuwa amenisikiliza;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kama ningaliwaza maovu moyoni mwangu, Bwana asingesikia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kama ningalinuia maovu moyoni, Mwenyezi-Mungu hangalinisikiliza.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kama ningalikuwa nimeuelekeza moyo wangu kwenye maovu, Bwana angalikataa kunisikia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kama ningaliwaza maovu moyoni mwangu, Bwana asingesikia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kama ningalikusudia maovu ndani ya moyo, Yawe hangalinisikiliza.