Psalms 66:19 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini kweli Mungu amenisikiliza; naam, amesikiliza maneno ya sala yangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
lakini hakika Mungu amenisikiliza na amesikia sauti yangu katika maombi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hakika Mungu amesikia; Ameisikiliza sauti ya maombi yangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini kweli Mungu amenisikiliza; naam, amesikiliza maneno ya sala yangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
lakini hakika Mungu amenisikiliza na amesikia sauti yangu katika maombi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
lakini hakika Mungu amenisikiliza na amesikia sauti yangu katika maombi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hakika Mungu amesikia; Ameisikiliza sauti ya maombi yangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini kweli Mungu amenisikiliza; naam, amesikiliza maneno ya sala yangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Neno hili ni la kweli: Mungu husikia; akaisikiliza nayo sauti ya lalamiko langu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hakika Mungu amesikia; Ameisikiliza sauti ya maombi yangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini kweli Mungu amenisikiliza; amesikiliza maneno ya maombi yangu.