Psalms 66:20 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Asifiwe Mungu, maana hakuikataa sala yangu, wala kuondoa fadhili zake kwangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ahimidiwe Mungu, ambaye hakulikataa ombi langu, wala kunizuilia upendo wake!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na ahimidiwe Mungu asiyeyakataa maombi yangu, Wala kuniondolea fadhili zake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Asifiwe Mungu, maana hakuikataa sala yangu, wala kuondoa fadhili zake kwangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sifa apewe Mungu, ambaye hakulikataa ombi langu wala kunizuilia upendo wake!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sifa apewe Mungu, ambaye hakulikataa ombi langu wala kunizuilia upendo wake!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na ahimidiwe Mungu asiyeyakataa maombi yangu, Wala kuniondolea fadhili zake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Asifiwe Mungu, maana hakuikataa sala yangu, wala kuondoa fadhili zake kwangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mungu na atukuzwe, maana hakuninyima niliyomwomba, wala hakuninyima upole wake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na ahimidiwe Mungu asiyeyakataa maombi yangu, Wala kuniondolea fadhili zake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mungu asifiwe! Hakukataa maombi yangu, wala hakuacha kunitendea mema.