Psalms 66:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Dunia yote inakuabudu; watu wote wanakuimbia sifa!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Dunia yote yakusujudia, wanakuimbia wewe sifa, wanaliimbia sifa jina lako.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nchi yote itakusujudia na kukuimbia, Naam, italiimbia jina lako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Dunia yote inakuabudu; watu wote wanakuimbia sifa!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Dunia yote yakusujudia, wanakuimbia wewe sifa, wanaliimbia sifa jina lako.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Dunia yote yakusujudia, wanakuimbia wewe sifa, wanaliimbia sifa jina lako.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nchi yote itakusujudia na kukuimbia, Naam, italiimbia jina lako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Dunia yote inakuabudu; watu wote wanakuimbia sifa!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nchi zilizoko zote zinakuangukia, wanakuimbia wewe, nalo Jina lako wanaliimbia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nchi yote itakusujudia na kukuimbia, Naam, italiimbia jina lako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)