Psalms 66:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Njoni mkaone mambo aliyotenda Mungu; ametenda mambo ya kutisha kati ya watu:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Njooni mwone yale Mungu aliyoyatenda, mambo ya kutisha aliyoyatenda miongoni mwa wanadamu!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Njoni yatazameni matendo ya Mungu; Hutisha kwa mambo awatendayo wanadamu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Njoni mkaone mambo aliyotenda Mungu; ametenda mambo ya kutisha kati ya watu:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Njoni mwone yale Mungu aliyoyatenda, mambo ya kutisha aliyoyatenda miongoni mwa wanadamu!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Njooni mwone yale Mungu aliyoyatenda, mambo ya kutisha aliyoyatenda miongoni mwa wanadamu!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Njoni myaone matendo ya Mungu; Hutisha kwa mambo awatendayo wanadamu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Njoni mkaone mambo aliyotenda Mungu; ametenda mambo ya kutisha kati ya watu:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Njoni, mvione vioja vya Mungu! Jinsi anavyowaendea wana wa watu, ni vya kustaajabu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Njoni yatazameni matendo ya Mungu; Hutisha kwa mambo awatendayo wanadamu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mukuje muone mambo Mungu aliyotenda; ametenda mambo ya kutisha kati ya watu.