Psalms 66:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Aligeuza bahari kuwa nchi kavu, watu wakapita humo kwa miguu; hapo nasi tukashangilia kwa sababu yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Alifanya bahari kuwa nchi kavu, wakapita kati ya maji kwa miguu, njooni, tumshangilie.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Aligeuza bahari ikawa nchi kavu; Katika mto walivuka kwa miguu; Huko ndiko mlikomfurahia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Aligeuza bahari kuwa nchi kavu, watu wakapita humo kwa miguu; hapo nasi tukashangilia kwa sababu yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Alifanya bahari kuwa nchi kavu, wakapita kati ya maji kwa miguu, njoni, tumshangilie.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Alifanya bahari kuwa nchi kavu, wakapita kati ya maji kwa miguu, njooni, tumshangilie.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Aligeuza bahari ikawa nchi kavu; Katika mto walivuka kwa miguu; Huko ndiko tulikomfurahia yeye.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Aligeuza bahari kuwa nchi kavu, watu wakapita humo kwa miguu; hapo nasi tukashangilia kwa sababu yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bahari aliigeuza kuwa nchi kavu, wakapita kwa miguu kwenye mto mkubwa; kwa hiyo tunamfurahia aliye hivyo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Aligeuza bahari ikawa nchi kavu; Katika mto walivuka kwa miguu; Huko ndiko mlikomfurahia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Aligeuza bahari kuwa inchi kavu, watu wakapita humo kwa miguu; kwa hiyo nasi tukashangilia.