Psalms 66:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Anatawala milele kwa nguvu yake kuu; macho yake huchungulia mataifa yote. Mwasi yeyote asithubutu kumpinga.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yeye hutawala kwa uwezo wake milele, macho yake huangalia mataifa yote: waasi wasithubutu kujiinua dhidi yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Atawala kwa uweza wake milele; Macho yake yanaangalia mataifa; Waasio wasijitukuze nafsi zao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Anatawala milele kwa nguvu yake kuu; macho yake huchungulia mataifa yote. Mwasi yeyote asithubutu kumpinga.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yeye hutawala kwa uwezo wake milele, macho yake huangalia mataifa yote, waasi na wasithubutu kujiinua dhidi yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yeye hutawala kwa uwezo wake milele, macho yake huangalia mataifa yote: waasi wasithubutu kujiinua dhidi yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Atawalaye kwa uweza wake milele; Ambaye macho yake yanaangalia mataifa; Hebu wanaoasi wasijitukuze nafsi zao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Anatawala milele kwa nguvu yake kuu; macho yake huchungulia mataifa yote. Mwasi yeyote asithubutu kumpinga.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hutawala kwa uwezo wake mkubwa kale na kale, macho yake huyatazama makabila ya watu, waliomwacha hawatajivuna mbele yake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Atawala kwa uweza wake milele; Macho yake yanaangalia mataifa; Waasio wasijitukuze nafsi zao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Anatawala milele kwa nguvu yake kubwa; macho yake yanachungulia mataifa yote. Mwasi yeyote asisubutu kumupinga.