Psalms 67:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
(Kwa Mwimbishaji: Na ala za nyuzi za muziki. Zaburi. Wimbo) Utuonee huruma, ee Mungu, utubariki; utuelekezee uso wako kwa wema;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mungu aturehemu na kutubariki, na kutuangazia nuru za uso wake,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mungu na atufadhili na kutubariki, Na kutuangazia uso wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Utuonee huruma, ee Mungu, utubariki; utuelekezee uso wako kwa wema;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
(Kwa Mwimbishaji: Na Ala Za Nyuzi Za Muziki. Zaburi. Wimbo) Mungu uturehemu na kutubariki, na kutuangazia nuru za uso wako,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mungu aturehemu na kutubariki, na kutuangazia nuru za uso wake,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mungu na atufadhili na kutubariki, Na kutuangazia uso wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Utuonee huruma, ee Mungu, utubariki; utuelekezee uso wako kwa wema;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mungu na atuhurumie atubariki! Auangaze uso wake, atumulikie!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mungu na atufadhili na kutubariki, Na kutuangazia uso wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa mukubwa wa waimbaji. Kwa vyombo vyenye nyuzi. Zaburi. Wimbo.