Psalms 67:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
dunia yote ipate kutambua njia yako, mataifa yote yajue nguvu yako ya kuokoa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ili njia zako zijulikane duniani, wokovu wako katikati ya mataifa yote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Njia yake ijulike duniani, Wokovu wake katikati ya mataifa yote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
dunia yote ipate kutambua njia yako, mataifa yote yajue nguvu yako ya kuokoa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ili njia zako zijulikane duniani, wokovu wako katikati ya mataifa yote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ili njia zako zijulikane duniani, wokovu wako katikati ya mataifa yote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Njia yake ijulikane duniani, Wokovu wake katikati ya mataifa yote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
dunia yote ipate kutambua njia yako, mataifa yote yajue nguvu yako ya kuokoa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tupe, tuitambue njia yako katika nchi, tuone kwa mataifa yote, jinsi unavyookoa!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Njia yake ijulike duniani, Wokovu wake katikati ya mataifa yote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Utuonee huruma, ee Mungu, utubariki, utuelekezee uso wako kwa wema,