Psalms 67:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu wote wakutukuze, ee Mungu; watu wote na wakusifu!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mungu, mataifa na wakusifu, mataifa yote na wakusifu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Watu na wakushukuru, Ee Mungu, Watu wote na wakushukuru.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu wote wakutukuze, ee Mungu; watu wote na wakusifu!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee Mungu, mataifa na wakusifu, mataifa yote na wakusifu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee Mungu, mataifa na wakusifu, mataifa yote na wakusifu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Watu na wakushukuru, Ee Mungu, Watu wote na wakushukuru.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu wote wakutukuze, ee Mungu; watu wote na wakusifu!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Na yakushukuru, Mungu, makabila ya watu, kweli wao wa makabila yote ya watu na wakushukuru.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Watu na wakushukuru, Ee Mungu, Watu wote na wakushukuru.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
dunia yote ipate kutambua njia yako, mataifa yote yajue nguvu yako ya kuokoa.