Psalms 67:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mataifa yote yafurahi na kuimba kwa furaha; maana wawahukumu watu kwa haki, na kuyaongoza mataifa duniani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mataifa yote wafurahi na kuimba kwa shangwe, kwa kuwa unatawala watu kwa haki na kuongoza mataifa ya dunia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mataifa na washangilie, Naam, waimbe kwa furaha, Maana kwa haki utawahukumu watu, Na kuwaongoza mataifa walioko duniani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mataifa yote yafurahi na kuimba kwa furaha; maana wawahukumu watu kwa haki, na kuyaongoza mataifa duniani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mataifa yote na wafurahi na kuimba kwa shangwe, kwa kuwa unatawala watu kwa haki na kuongoza mataifa ya dunia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mataifa yote wafurahi na kuimba kwa shangwe, kwa kuwa unatawala watu kwa haki na kuongoza mataifa ya dunia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mataifa na washangilie, Naam, waimbe kwa furaha, Maana kwa haki utawahukumu watu, Na kuwaongoza mataifa walioko duniani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mataifa yote yafurahi na kuimba kwa furaha; maana wawahukumu watu kwa haki, na kuyaongoza mataifa duniani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Makabila yote ya yafurahi na kushangilia, kwani unayaamulia makabila ya watu kwa wongofu, makabila yaliyoko katika nchi huyaongoza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mataifa na washangilie, Naam, waimbe kwa furaha, Maana kwa haki utawahukumu watu, Na kuwaongoza mataifa walioko duniani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu wakusifu, ee Mungu, watu wote wakusifu!