Psalms 67:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nchi imetoa mazao yake; Mungu, Mungu wetu, ametubariki.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo nchi itatoa mazao yake, naye Mungu, Mungu wetu, atatubariki.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nchi imetoa mazao yake MUNGU, Mungu wetu, ametubariki.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nchi imetoa mazao yake; Mungu, Mungu wetu, ametubariki.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo nchi itatoa mazao yake, naye Mungu, Mungu wetu, atatubariki.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo nchi itatoa mazao yake, naye Mungu, Mungu wetu, atatubariki.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nchi imetoa mazao yake MUNGU, Mungu wetu, ametubariki.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nchi imetoa mazao yake; Mungu, Mungu wetu, ametubariki.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nchi ikiyaotesha vema mazao yake, Mungu aliye Mungu wetu hutubariki.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nchi imetoa mazao yake MUNGU, Mungu wetu, ametubariki.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu wakusifu, ee Mungu, watu wote wakusifu!