Psalms 68:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
(Kwa Mwimbishaji. Zaburi ya Daudi) Mungu ainuka, na maadui zake watawanyika; wanaomchukia wakimbia mbali naye!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mungu na ainuke, watesi wake watawanyike, adui zake na wakimbie mbele zake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mungu huondoka, adui zake wakatawanyika, Nao wamchukiao huukimbia uso wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mungu ainuka, na maadui zake watawanyika; wanaomchukia wakimbia mbali naye!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
(Kwa Mwimbishaji: Zaburi ya Daudi. Wimbo) Mungu na ainuke, watesi wake na watawanyike, adui zake na wakimbie mbele zake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mungu na ainuke, watesi wake watawanyike, adui zake na wakimbie mbele zake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mungu na ainuke, adui zake watawanyike, Nao wamchukiao huukimbia uso wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mungu ainuka, na maadui zake watawanyika; wanaomchukia wakimbia mbali naye!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mungu akiinuka, hutawanyika walio adui zake, nao wamchukiao hukimbia machoni pake!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mungu huondoka, adui zake wakatawanyika, Nao wamchukiao huukimbia uso wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa mukubwa wa waimbaji. Zaburi ya Daudi.