Psalms 68:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Bwana alitoa amri, nao wanawake wengi wakatangaza habari:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Bwana analitoa neno, wanawake wanaolitangaza neno hilo ni kundi kubwa:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana analitoa neno lake; Wanawake watangazao habari ni jeshi kubwa;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Bwana alitoa amri, nao wanawake wengi wakatangaza habari:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Bwana alitangaza neno, waliolitangaza neno hilo walikuwa kundi kubwa:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Bwana alitangaza neno, waliolitangaza neno hilo walikuwa kundi kubwa:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Bwana analitoa neno lake; Wanawake watangazao habari ni jeshi kubwa;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Bwana alitoa amri, nao wanawake wengi wakatangaza habari:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wenye kulitangaza neno, alilolitoa bwana, ni kikosi kikubwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Bwana analitoa neno lake; Wanawake watangazao habari ni jeshi kubwa;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu wako wakapata makao ndani yake, uliyotayarishia wamasikini kwa uzuri wako.