Psalms 68:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Wafalme na majeshi yao wanakimbia ovyo!” Kina mama majumbani waligawana nyara,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Wafalme na majeshi walikimbia upesi, wanawake waliobaki nyumbani waligawana nyara.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wafalme wa majeshi wanakimbia, wanakimbia; Na mwanamke akaaye nyumbani agawa nyara.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Wafalme na majeshi yao wanakimbia ovyo!” Kina mama majumbani waligawana nyara,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Wafalme na majeshi walikimbia upesi, watu waliobaki kambini waligawana nyara.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Wafalme na majeshi walikimbia upesi, watu waliobaki kambini waligawana nyara.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wafalme wa majeshi wanakimbia, wanakimbia; Na mwanamke akaaye nyumbani anagawa nyara.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Wafalme na majeshi yao wanakimbia ovyo!” Kina mama majumbani waligawana nyara,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wafalme wa vikosi watakimbia, watakimbia kweli, nao wanawake wenye nyumba watagawanya mateka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wafalme wa majeshi wanakimbia, wanakimbia; Na mwanamke akaaye nyumbani agawa nyara.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Bwana alitoa amri, nao wanawake wengi wakatangaza habari: