Psalms 68:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
ingawa walibaki mazizini: Sanamu za njiwa wa madini ya fedha, na mabawa yao yanangaa kwa dhahabu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hata unapolala kati ya mioto ya kambini, mabawa ya njiwa wangu yamefunikwa kwa fedha, manyoya yake kwa dhahabu inayong’aa.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa nini kulala mazizini arukapo hua, Mbawa zake ziking'aa kama fedha Na manyoya yake kama dhahabu?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
ingawa walibaki mazizini: sanamu za njiwa wa madini ya fedha, na mabawa yao yanang'aa kwa dhahabu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hata ulalapo katikati ya mioto ya kambini, mabawa ya njiwa wangu, yamefunikwa kwa fedha, manyoya yake kwa dhahabu ing'aayo.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hata ulalapo katikati ya mioto ya kambini, mabawa ya njiwa wangu yamefunikwa kwa fedha, manyoya yake kwa dhahabu ing’aayo.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa nini kulala mazizini arukapo hua, Mbawa zake ziking'aa kama fedha Na manyoya yake kama dhahabu?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
ingawa walibaki mazizini: Sanamu za njiwa wa madini ya fedha, na mabawa yao yanangaa kwa dhahabu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hapo, mnapolala kambini, yapo yanayomerimeta, yanafanana na mabawa ya kwenzi yang'aayo kama fedha, nayo manyoya yake humetuka kama dhahabu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa nini kulala mazizini arukapo hua, Mbawa zake ziking’aa kama fedha Na manyoya yake kama dhahabu?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Wafalme na majeshi yao wanakimbia ovyo!” Wanawake waliobaki ndani ya nyumba waligawanya vitu vilivyonyanganywa,