Psalms 68:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mungu Mwenye Nguvu alipowatawanya wafalme huko, theluji ilianguka juu ya mlima Salmoni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi alipowatawanya wafalme katika nchi, ilikuwa kama theluji iliyoanguka juu ya Mlima Salmoni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mwenyezi Mungu alipotawanya wafalme huko, Kulinyesha theluji katika Salmoni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mungu Mwenye Nguvu alipowatawanya wafalme huko, theluji ilianguka juu ya mlima Salmoni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati Mwenyezi alipowatawanya wafalme katika nchi, ilikuwa kama theluji iliyoanguka juu ya Salmoni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati Mwenyezi alipowatawanya wafalme katika nchi, ilikuwa kama theluji iliyoanguka juu ya Salmoni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mwenyezi Mungu alipotawanya wafalme huko, Kulinyesha theluji katika Salmoni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mungu Mwenye Nguvu alipowatawanya wafalme huko, theluji ilianguka juu ya mlima Salmoni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mwenyezi alipowatawanya wafalme wale, mara kuling'aa kama theluji kulikokuwa na giza kuu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mwenyezi Mungu alipotawanya wafalme huko, Kulinyesha theluji katika Salmoni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
ingawa walibaki ndani ya mazizi: sanamu za njiwa zilizotengenezwa na feza, na mabawa yao yanayoangaa zahabu.