Psalms 68:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mbona unauonea kijicho mlima aliochagua Mungu akae juu yake? Mwenyezi-Mungu atakaa huko milele!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Enyi milima yenye vilele vilivyochongoka, kwa nini mnakazia macho kwa wivu, katika mlima Mungu anaochagua kutawala, ambako Mwenyezi Mungu mwenyewe ataishi milele?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Enyi milima mirefu, kwani kuutazama kwa wivu Mlima alioutamani Mungu akae juu yake? Naam, Bwana atakaa juu yake milele.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mbona unauonea kijicho mlima aliochagua Mungu akae juu yake? Mwenyezi-Mungu atakaa huko milele!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Enyi milima yenye vilele vilivyochongoka, kwa nini mnakazia macho kwa wivu, katika mlima Mungu anaochagua kutawala, ambako BWANA mwenyewe ataishi milele?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Enyi milima yenye vilele vilivyochongoka, kwa nini mnakazia macho kwa wivu, katika mlima Mungu anaochagua kutawala, ambako bwana mwenyewe ataishi milele?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Enyi milima mirefu, kwani kuutazama kwa wivu Mlima alioutamani Mungu akae juu yake? Naam, BWANA atakaa juu yake milele.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mbona unauonea kijicho mlima aliochagua Mungu akae juu yake? Mwenyezi-Mungu atakaa huko milele!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ninyi milima yenye vilima kileleni juu, sababu gani mnautazama kwa kijicho mlima ule Mungu alioupenda, akae pale? Kweli Bwana atakaa pale kale na kale
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Enyi milima mirefu, kwani kuutazama kwa wivu Mlima alioutamani Mungu akae juu yake? Naam, BWANA atakaa juu yake milele.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ewe mulima wa Basani, murefu na wenye vichwa vingi,