Psalms 68:17 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Akiwa na msafara mkubwa, maelfu na maelfu ya magari ya kukokotwa, Bwana anakuja patakatifuni pake kutoka Sinai.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Magari ya vita ya Mungu ni makumi ya maelfu, na maelfu ya maelfu; Bwana amekuja kutoka Sinai hadi katika patakatifu pake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Magari ya Mungu ni ishirini elfu, maelfu maelfu; Bwana yumo kati yao kama katika Sinai, Katika patakatifu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Akiwa na msafara mkubwa, maelfu na maelfu ya magari ya kukokotwa, Bwana anakuja patakatifuni pake kutoka Sinai.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Magari ya Mungu ni makumi ya maelfu, na maelfu ya maelfu; Bwana amekuja kutoka Sinai kuja katika patakatifu pake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Magari ya Mungu ni makumi ya maelfu, na maelfu ya maelfu; Bwana amekuja kutoka Sinai hadi katika patakatifu pake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Magari ya Mungu ni elfu ishirini, maelfu kwa maelfu; Bwana yumo kati yao kama katika Sinai, Katika patakatifu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Akiwa na msafara mkubwa, maelfu na maelfu ya magari ya kukokotwa, Bwana anakuja patakatifuni pake kutoka Sinai.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Magari yake Mungu ni maelfu na maelfu, hayahesabiki, Bwana anayo kule Sinai kwenye Patakatifu pake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Magari ya Mungu ni ishirini elfu, maelfu maelfu; Bwana yumo kati yao kama katika Sinai, Katika patakatifu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
mbona unauonea kijicho mulima Mungu aliouchagua akae juu yake? Yawe atakaa huko milele!