Psalms 68:18 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Anapanda juu akichukua mateka; anapokea zawadi kutoka kwa watu, hata kutoka kwa watu walioasi; Mwenyezi-Mungu apate kukaa huko.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ulipopanda juu, uliteka mateka, ukapokea vipawa kutoka kwa wanadamu, hata kutoka kwa wale walioasi, ili wewe, Ee Bwana Mwenyezi Mungu, upate kuishi huko.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wewe umepaa juu, umeteka mateka, Umepewa vipawa katikati ya wanadamu; Naam, hata na wakaidi, Bwana Mungu akae nao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Anapanda juu akichukua mateka; anapokea zawadi kutoka kwa watu, hata kutoka kwa watu walioasi; Mwenyezi-Mungu apate kukaa huko.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ulipopanda juu, uliteka mateka, ukapokea vipawa kutoka kwa wanadamu, hata kutoka kwa wale walioasi, ili wewe, Ee BWANA, upate kuishi huko.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ulipopanda juu, uliteka mateka, ukapokea vipawa kutoka kwa wanadamu, hata kutoka kwa wale walioasi, ili wewe, Ee bwana Mwenyezi Mungu, upate kuishi huko.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wewe umepaa juu, umeteka mateka, Umepewa vipawa katikati ya wanadamu; Naam, hata na wakaidi, BWANA Mungu akae nao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Anapanda juu akichukua mateka; anapokea zawadi kutoka kwa watu, hata kutoka kwa watu walioasi; Mwenyezi-Mungu apate kukaa huko.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ulipopaa juu, uliteka mateka, nako kwa watu ukayapokea waliyokupa; hata wabishi hawana budi kukaa kwake Bwana Mungu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wewe umepaa juu, umeteka mateka, Umepewa vipawa katikati ya wanadamu; Naam, hata na wakaidi, BWANA Mungu akae nao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Bwana anakuja kwenye pahali pake patakatifu kutoka Sinai, akikuwa na kundi kubwa, na maelfu na maelfu ya magari ya kukokotwa.