Psalms 68:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kama moshi unavyopeperushwa na upepo, ndivyo anavyowapeperusha; kama nta inavyoyeyuka karibu na moto, ndivyo waovu wanavyoangamia mbele ya Mungu!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kama moshi unavyopeperushwa na upepo, vivyo hivyo uwapeperushe mbali, kama nta inavyoyeyuka kwenye moto, vivyo hivyo waovu na waangamie mbele za Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kama moshi upeperushwavyo, Ndivyo uwapeperushavyo wao; Kama nta iyeyukavyo mbele ya moto, Ndivyo waovu wapoteavyo usoni pa Mungu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kama moshi unavyopeperushwa na upepo, ndivyo anavyowapeperusha; kama nta inavyoyeyuka karibu na moto, ndivyo waovu wanavyoangamia mbele ya Mungu!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama vile moshi upeperushwavyo na upepo, vivyo hivyo uwapeperushe mbali, kama vile nta iyeyukavyo kwenye moto, vivyo hivyo waovu na waangamie mbele za Mungu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama vile moshi upeperushwavyo na upepo, vivyo hivyo uwapeperushe mbali, kama vile nta iyeyukavyo kwenye moto, vivyo hivyo waovu na waangamie mbele za Mungu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kama moshi upeperushwavyo, Ndivyo uwapeperushavyo wao; Kama nta iyeyukavyo mbele ya moto, Ndivyo waovu wapoteavyo usoni pa Mungu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kama moshi unavyopeperushwa na upepo, ndivyo anavyowapeperusha; kama nta inavyoyeyuka karibu na moto, ndivyo waovu wanavyoangamia mbele ya Mungu!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kama moshi unavyopeperuka, ndivyo, wanavyopeperuka; kama nta inavyoyeyuka motoni, ndivyo, wanavyoangamia usoni pake Mungu wao wasiomcha.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kama moshi upeperushwavyo, Ndivyo uwapeperushavyo wao; Kama nta iyeyukavyo mbele ya moto, Ndivyo waovu wapoteavyo usoni pa Mungu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mungu asimame sasa, na waadui zake watawanyike! Wanaomuchukia wakimbie mbali naye!