Psalms 68:20 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mungu wetu ni Mungu mwenye kutuokoa; Bwana Mungu pekee ndiye aokoaye katika kifo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mungu wetu ni Mungu anayeokoa, Bwana Mungu Mwenyezi hutuokoa na kifo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mungu kwetu sisi ni Mungu wa kuokoa; Na njia za kutoka mautini zina YEHOVA Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mungu wetu ni Mungu mwenye kutuokoa; Bwana Mungu pekee ndiye aokoaye katika kifo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mungu wetu ni Mungu aokoaye, BWANA Mwenyezi hutuokoa na kifo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mungu wetu ni Mungu aokoaye, bwana Mwenyezi hutuokoa na kifo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mungu wetu ni Mungu wa kuokoa; Na njia za kutoka mautini zina YEHOVA Bwana.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mungu wetu ni Mungu mwenye kutuokoa; Bwana Mungu pekee ndiye aokoaye katika kifo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mungu, tuliye naye, ndiye Mungu aokoaye, mwenye njia za kutoka nako kufani ni Mungu Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mungu kwetu sisi ni Mungu wa kuokoa; Na njia za kutoka mautini zina YEHOVA Bwana.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe asifiwe siku kwa siku! Yeye anatubebea mizigo yetu, yeye ndiye Mungu mwokozi wetu.